2 Wathesalonike 1:11 BHN

11 Ndiyo maana tunawaombeeni daima. Tunamwomba Mungu wetu awawezesheni kustahili maisha aliyowaitia muyaishi. Tunamwomba, kwa uwezo wake, atimize nia yenu ya kutenda mema na kukamilisha kazi yenu ya imani.

Kusoma sura kamili 2 Wathesalonike 1

Mtazamo 2 Wathesalonike 1:11 katika mazingira