12 Kwa namna hiyo, jina la Bwana wetu Yesu litapata utukufu kutoka kwenu, nanyi mtapata utukufu kutoka kwake kwa neema ya Mungu wetu na ya Bwana Yesu Kristo.
Kusoma sura kamili 2 Wathesalonike 1
Mtazamo 2 Wathesalonike 1:12 katika mazingira