2 Wathesalonike 2:13 BHN

13 Tunapaswa kumshukuru Mungu daima kwa ajili yenu nyinyi ndugu, nyinyi mnaopendwa na Bwana, kwa maana Mungu amewateua tangu mwanzo mpate kuokolewa kwa nguvu ya Roho, mfanywe watu wake watakatifu kwa imani yenu katika ukweli.

Kusoma sura kamili 2 Wathesalonike 2

Mtazamo 2 Wathesalonike 2:13 katika mazingira