14 Mungu aliwaitieni jambo hili kwa njia ya Habari Njema tuliyowahubirieni; aliwaiteni mpate kupokea sehemu yenu katika utukufu wa Bwana wetu Yesu Kristo.
Kusoma sura kamili 2 Wathesalonike 2
Mtazamo 2 Wathesalonike 2:14 katika mazingira