Filemoni 1:14 BHN

14 Lakini sitafanya chochote bila kibali chako. Sipendi kukulazimisha unisaidie, kwani wema wako unapaswa kutokana na hiari yako wewe mwenyewe na si kwa kulazimika.

Kusoma sura kamili Filemoni 1

Mtazamo Filemoni 1:14 katika mazingira