Filemoni 1:16 BHN

16 Na sasa yeye si mtumwa wa kawaida, ila ni bora zaidi ya mtumwa: Yeye ni ndugu yetu mpenzi. Ni wa maana sana kwangu mimi, na kwako atakuwa wa maana zaidi, kama mtumwa na kama ndugu katika Bwana.

Kusoma sura kamili Filemoni 1

Mtazamo Filemoni 1:16 katika mazingira