Filemoni 1:9 BHN

9 Lakini kwa sababu ya upendo, ni afadhali zaidi nikuombe. Nafanya hivi ingawa mimi ni Paulo, balozi wa Kristo Yesu, na sasa pia mfungwa kwa ajili yake.

Kusoma sura kamili Filemoni 1

Mtazamo Filemoni 1:9 katika mazingira