13 Lakini malaika akamwambia, “Zakaria, usiogope, kwa maana sala yako imesikilizwa, na Elisabeti mkeo atakuzalia mtoto wa kiume, nawe utampa jina Yohane.
Kusoma sura kamili Luka 1
Mtazamo Luka 1:13 katika mazingira