Luka 1:17 BHN

17 Atamtangulia Bwana akiongozwa na nguvu na roho kama ya Elia. Atawapatanisha kina baba na watoto wao; atawafanya wasiotii wawe na fikira za uadilifu, na hivyo amtayarishie Bwana watu wake.”

Kusoma sura kamili Luka 1

Mtazamo Luka 1:17 katika mazingira