Luka 1:19 BHN

19 Malaika akamjibu, “Mimi ni Gabrieli, nisimamaye mbele ya Mungu; nimetumwa niseme nawe, nikuletee hizi habari njema.

Kusoma sura kamili Luka 1

Mtazamo Luka 1:19 katika mazingira