Luka 1:22 BHN

22 Alipotoka nje, hakuweza kusema nao. Ikawa dhahiri kwao kwamba alikuwa ameona maono hekaluni. Lakini akawa anawapa ishara kwa mikono, akabaki bubu.

Kusoma sura kamili Luka 1

Mtazamo Luka 1:22 katika mazingira