Luka 1:48 BHN

48 Kwa kuwa amemwangalia kwa huruma mtumishi wake mnyenyekevu.Hivyo tangu sasa watu wote wataniita mwenye heri.

Kusoma sura kamili Luka 1

Mtazamo Luka 1:48 katika mazingira