Luka 10:1 BHN

1 Baada ya hayo, Bwana aliwachagua wengine sabini na wawili, akawatuma wawiliwawili, wamtangulie katika kila kijiji na mahali ambapo yeye mwenyewe alitaka kwenda.

Kusoma sura kamili Luka 10

Mtazamo Luka 10:1 katika mazingira