Luka 10:13 BHN

13 “Ole wako Korazini! Ole wako Bethsaida! Maana, kama miujiza iliyofanyika kwenu ingalifanyika kule Tiro na Sidoni, watu wake wangalikwisha vaa mavazi ya gunia kitambo na kukaa katika majivu kutubu.

Kusoma sura kamili Luka 10

Mtazamo Luka 10:13 katika mazingira