Luka 10:19 BHN

19 Naam, nimewapeni uwezo wa kukanyaga nyoka na nge, na uwezo juu ya nguvu zote za yule adui; hakuna chochote kitakachowadhuru.

Kusoma sura kamili Luka 10

Mtazamo Luka 10:19 katika mazingira