Luka 10:40 BHN

40 Lakini Martha alikuwa anashughulika na mambo mengi. Basi, akamwendea Yesu, akamwambia, “Bwana, hivi hujali kwamba dada yangu ameniacha nishughulike peke yangu? Mwambie basi, anisaidie.”

Kusoma sura kamili Luka 10

Mtazamo Luka 10:40 katika mazingira