Luka 11:13 BHN

13 Kama nyinyi, ingawa ni waovu, mnajua kuwapa watoto wenu vitu vizuri, hakika baba yenu wa mbinguni atafanya zaidi; atawapa Roho Mtakatifu wale wanaomwomba.”

Kusoma sura kamili Luka 11

Mtazamo Luka 11:13 katika mazingira