Luka 11:19 BHN

19 Kama ninafukuza pepo kwa uwezo wa Beelzebuli, wafuasi wenu huwafukuza kwa uwezo wa nani? Kwa sababu hiyo, wao ndio watakaowahukumu nyinyi.

Kusoma sura kamili Luka 11

Mtazamo Luka 11:19 katika mazingira