Luka 11:27 BHN

27 Alipokuwa akisema hayo, mwanamke mmoja katika lile kundi la watu, akasema kwa sauti kubwa: “Heri mwanamke aliyekuzaa na kukunyonyesha!”

Kusoma sura kamili Luka 11

Mtazamo Luka 11:27 katika mazingira