Luka 11:34 BHN

34 Jicho lako ni taa ya mwili wako; likiwa zima, mwili wako wote utakuwa katika mwanga. Jicho lako likiwa bovu, na mwili wako pia utakuwa katika giza.

Kusoma sura kamili Luka 11

Mtazamo Luka 11:34 katika mazingira