Luka 11:46 BHN

46 Yesu akamjibu, “Na nyinyi waalimu wa sheria, ole wenu; maana mnawatwika watu mizigo isiyochukulika, huku nyinyi wenyewe hamnyoshi hata kidole kuwasaidia.

Kusoma sura kamili Luka 11

Mtazamo Luka 11:46 katika mazingira