Luka 11:48 BHN

48 Kwa hiyo mnashuhudia na kukubaliana na matendo ya wazee wenu; maana wao waliwaua hao manabii, nanyi mnajenga makaburi yao.

Kusoma sura kamili Luka 11

Mtazamo Luka 11:48 katika mazingira