Luka 11:50 BHN

50 Matokeo yake ni kwamba kizazi hiki kitaadhibiwa kwa sababu ya damu ya manabii wote iliyomwagika tangu mwanzo wa ulimwengu;

Kusoma sura kamili Luka 11

Mtazamo Luka 11:50 katika mazingira