Luka 12:3 BHN

3 Kwa hiyo, kila mliyosema gizani, watu watayasikia katika mwanga, na kila mliyonongona faraghani milango imefungwa, yatatangazwa juu ya nyumba.

Kusoma sura kamili Luka 12

Mtazamo Luka 12:3 katika mazingira