Luka 12:33 BHN

33 Uzeni mali yenu mkawape maskini hizo fedha. Jifanyieni mifuko isiyochakaa, na kujiwekea hazina mbinguni ambako haitapungua. Huko wezi hawakaribii, wala nondo hawaharibu.

Kusoma sura kamili Luka 12

Mtazamo Luka 12:33 katika mazingira