Luka 12:5 BHN

5 Nitawaonesheni yule ambaye ni lazima kumwogopa: Mwogopeni yule ambaye baada ya kuua ana uwezo wa kumtupa mtu katika moto wa Jehanamu. Naam, ninawaambieni, mwogopeni huyo.

Kusoma sura kamili Luka 12

Mtazamo Luka 12:5 katika mazingira