Luka 12:53 BHN

53 Baba atakuwa dhidi ya mwanawe, mwana dhidi ya baba yake; mama dhidi ya bintiye, binti dhidi ya mama yake; mamamkwe dhidi ya mke wa mwanawe na huyo dhidi ya mamamkwe wake.”

Kusoma sura kamili Luka 12

Mtazamo Luka 12:53 katika mazingira