Luka 13:17 BHN

17 Alipokwisha sema hayo, wapinzani wake waliona aibu lakini watu wengine wote wakajaa furaha kwa sababu ya mambo yote aliyotenda.

Kusoma sura kamili Luka 13

Mtazamo Luka 13:17 katika mazingira