Luka 14:15 BHN

15 Mmoja wa wale waliokuwa wameketi pamoja na Yesu akasema, “Ana heri mtu yule atakayekula chakula katika ufalme wa Mungu.”

Kusoma sura kamili Luka 14

Mtazamo Luka 14:15 katika mazingira