Luka 14:23 BHN

23 Yule bwana akamwambia mtumishi: ‘Nenda katika barabara na vichochoro vya mji uwashurutishe watu kuingia ili nyumba yangu ijae.

Kusoma sura kamili Luka 14

Mtazamo Luka 14:23 katika mazingira