Luka 14:28 BHN

28 Kwa maana, ni nani miongoni mwenu ambaye akitaka kujenga mnara hataketi kwanza akadirie gharama zake ili ajue kama ana kiasi cha kutosha cha kumalizia?

Kusoma sura kamili Luka 14

Mtazamo Luka 14:28 katika mazingira