Luka 15:8 BHN

8 “Au mwaonaje? Tuseme mwanamke fulani ana sarafu kumi za fedha, akipoteza moja, atafanya nini? Atawasha taa, ataifagia nyumba na kuitafuta kwa uangalifu mpaka aipate.

Kusoma sura kamili Luka 15

Mtazamo Luka 15:8 katika mazingira