Luka 16:13 BHN

13 “Hakuna mtumishi awezaye kuwatumikia mabwana wawili; kwa maana atamchukia mmoja na kumpenda mwingine, au ataambatana na mmoja na kumdharau mwingine. Hamwezi kumtumikia Mungu na mali pamoja.”

Kusoma sura kamili Luka 16

Mtazamo Luka 16:13 katika mazingira