Luka 16:18 BHN

18 “Yeyote anayempa mkewe talaka na kuoa mwingine, anazini; na yeyote anayemwoa mwanamke aliyepewa talaka, anazini.

Kusoma sura kamili Luka 16

Mtazamo Luka 16:18 katika mazingira