Luka 16:2 BHN

2 Yule tajiri akamwita, akamwambia: ‘Ni mambo gani haya ninayosikia juu yako? Toa hesabu ya mapato na matumizi ya mali yangu, kwa maana huwezi kuwa karani tena.’

Kusoma sura kamili Luka 16

Mtazamo Luka 16:2 katika mazingira