Luka 17:22 BHN

22 Halafu akawaambia wanafunzi wake, “Siku zinakuja ambapo mtatamani kuona mojawapo ya siku za Mwana wa Mtu, lakini hamtaiona.

Kusoma sura kamili Luka 17

Mtazamo Luka 17:22 katika mazingira