Luka 17:31 BHN

31 “Siku hiyo, yeyote atakayekuwa juu ya paa asishuke kwenda nyumbani kuchukua mali yake. Kadhalika, naye atakayekuwa shambani asirudi nyuma.

Kusoma sura kamili Luka 17

Mtazamo Luka 17:31 katika mazingira