Luka 18:15 BHN

15 Watu walimletea Yesu watoto wadogo ili awawekee mikono yake. Wanafunzi walipowaona, wakawazuia kwa maneno makali.

Kusoma sura kamili Luka 18

Mtazamo Luka 18:15 katika mazingira