Luka 19:22 BHN

22 Naye akamwambia: ‘Nakuhukumu kutokana na msemo wako, ewe mtumishi mbaya! Ulijua kwamba mimi ni mtu mkali, ambaye huchukua yasiyo yangu na kuchuma nisichopanda.

Kusoma sura kamili Luka 19

Mtazamo Luka 19:22 katika mazingira