21 Siku nane baadaye, wakati wa kumtahiri mtoto ulipofika, walimpa jina Yesu, jina ambalo alikuwa amepewa na malaika kabla hajachukuliwa mimba.
Kusoma sura kamili Luka 2
Mtazamo Luka 2:21 katika mazingira