Luka 2:34 BHN

34 Simeoni akawabariki, akamwambia Maria mama yake, “Mtoto huyu atakuwa sababu ya kupotea na kuokoka kwa watu wengi katika Israeli. Naye atakuwa ishara itakayopingwa na watu;

Kusoma sura kamili Luka 2

Mtazamo Luka 2:34 katika mazingira