Luka 2:4 BHN

4 Yosefu pia alifanya safari kutoka mjini Nazareti mkoani Galilaya, na kwa vile alikuwa wa jamaa na ukoo wa Daudi, alikwenda mjini Bethlehemu mkoani Yudea, alikozaliwa mfalme Daudi.

Kusoma sura kamili Luka 2

Mtazamo Luka 2:4 katika mazingira