Luka 2:7 BHN

7 akajifungua mtoto wake wa kwanza wa kiume, akamvika nguo za kitoto, akamlaza horini kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni.

Kusoma sura kamili Luka 2

Mtazamo Luka 2:7 katika mazingira