Luka 20:46 BHN

46 “Jihadharini na waalimu wa sheria ambao hupenda kupitapita wamevalia kanzu. Hupenda kusalimiwa na watu kwa heshima masokoni, huketi mahali pa heshima katika masunagogi na kuchukua nafasi za heshima katika karamu.

Kusoma sura kamili Luka 20

Mtazamo Luka 20:46 katika mazingira