Luka 21:25 BHN

25 “Kutakuwa na ishara katika jua na mwezi na nyota. Mataifa duniani yatakuwa na dhiki kwa sababu ya wasiwasi kutokana na mshindo wa mawimbi ya bahari.

Kusoma sura kamili Luka 21

Mtazamo Luka 21:25 katika mazingira