Luka 21:9 BHN

9 Basi, mtakaposikia habari za vita na misukosuko, msitishike; maana ni lazima hayo yatokee kwanza, lakini mwisho wa yote, bado.”

Kusoma sura kamili Luka 21

Mtazamo Luka 21:9 katika mazingira