Luka 22:19 BHN

19 Halafu akatwaa mkate, akashukuru, akaumega, akawapa akisema, “Huu ni mwili wangu unaotolewa kwa ajili yenu. Fanyeni hivi kwa kunikumbuka.”

Kusoma sura kamili Luka 22

Mtazamo Luka 22:19 katika mazingira