Luka 22:24 BHN

24 Kulitokea ubishi kati ya hao mitume kuhusu nani miongoni mwao anayefikiriwa kuwa mkuu kuliko wengine.

Kusoma sura kamili Luka 22

Mtazamo Luka 22:24 katika mazingira