Luka 22:47 BHN

47 Alipokuwa bado anaongea, kundi la watu likaja likiongozwa na yule aliyeitwa Yuda, mmoja wa wale mitume kumi na wawili. Yuda akaenda kumsalimu Yesu kwa kumbusu.

Kusoma sura kamili Luka 22

Mtazamo Luka 22:47 katika mazingira