Luka 22:61 BHN

61 Bwana akageuka na kumtazama Petro, naye Petro akakumbuka yale aliyokuwa ameambiwa na Bwana: “Leo kabla jogoo hajawika, utanikana mara tatu.”

Kusoma sura kamili Luka 22

Mtazamo Luka 22:61 katika mazingira